Namna ya kutangaza tovuti yako ya biashara mtandaoni
Baada ya kutengeneza tovuti yako ya biashara mtandaoni, hatua inayofuata ni kuhakikisha kuwa unaitangaza ili kuwafikia watu wengi. Hatua ya 2 ya biashara kukua ni usambazaji. Kutokana na Tovuti za kihakiki kama google na facebook, 89% ya watumiaji watafanya manunuzi ndani ya wiki moja ya usomaji wa tahakiki hizo. Ndio maana unatakiwa kuitangaza tovuti yako …